Mh huyo mdada naye!!
Pole labda unaumia kwa kuwa unamwonea huruma mume wake!
Kama umejishtukia maana yake kuna kitu hapo. Au roho imekuuma kuona rafiki yako sio muaminifu?
Labda umegundua kua huyu wa sasa hivi anampenda kweli na unaona kama nafasi yako kama rafiki yake mpenzi ipo mashakani...mkuu siju kwanini, huyu binti ana mme kama nyumba ndogo na mahawara wengi na wote nawajua na huwa ananiambi wakati anatoka nao, lakini nashangaa kwa huyu mpya mmhhh roho inauma.
Ushamtamani,acha uzinzi wewe
Labda umegundua kua huyu wa sasa hivi anampenda kweli na unaona kama nafasi yako kama rafiki yake mpenzi ipo mashakani...
mkuu siju kwanini, huyu binti ana mme kama nyumba ndogo na mahawara wengi na wote nawajua na huwa ananiambi wakati anatoka nao, lakini nashangaa kwa huyu mpya mmhhh roho inauma.
Hapo mwanzo ulimkuta tayari anahusiana na watu fulani, hunge weza kuwachukia maana wewe ndio uliwakuta. ulipo jenga urafiki nae na kua karibu nae ulijikuta unampenda(kimapenzi au kindugu, unajua mwenyewe) na ukaamini kua atawaacha hao wengine wote pole pole hadi arudi kwenye mstari. Sasa amekuonesha mpenzi mpya alie anzana nae baada ya uhusiano wenu, na umegundua kua ukaribu wenu haumziwii kuendelea na biashara yake. Mbaya zaidi umegundua kua yuko karibu sana na huyu wa mwisho. Ndio maana ya roho kukuuma.ni kweli huyu binti ni mkarim sana ananijali na anawajali sana hata rafiki zangu. nami namjali na ninawajali shemeji zangu wote aliyo nitambulisha. pia huwa napata amani na furaha saana akiwa anafurahi, huwa napenda afurahi muda wote, tunasaidiana kwa mengi, hata akiwa amekosana na bwana ake huwa tunashauriana jinsi ya kusolve tatizo. sikuwa na wivu wowote hapo awali hatakama najua kuwa yuko anafanya mapenzi na mtu yoyote yule, kinacho nishangaza ni huyu mpya du roho inauma utadhani ni mpenzi wangu.
duh, dunia ina mambo!
Kila siku nasema ' mbwa akichezea kingozi anachokilalia sana mwishowe hukila'
unataka kula kingozi chako cha kulalia?!