Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,262
- 29,140
Talifanyia kazi.Kuna member mwenzetu mmoja alisema Katika Uzi wake kuwa " mume wake hashiki Simu yake,ana mruhusu kwenda sehemu yoyote na akienda sehemu Bila kuaga wala haulizwi"
Na madam huyu alisema angependa kumuona mumewe anampenda Kwa kumjali na sio kuonyesha kutokujali.
Naweza kusema kuwa Ni kweli kabisa Kwa mwanamke kuhisi hivyo ni sahihi kabisa kwasababu mwanamke au mke ni mtu ambaye anamilikiwa au yupo Chini ya uangalizi wa mtu Fulani,hivyo Kwa mwenye mamlaka kushindwa kuonyesha mamlaka yake Kwa mhusika inaonyesha hakijali kile anachokimiliki au hakipendi kabisa.
Kumkontrol mwanamke Kwa kiasi fulani inamuonyesha kuwa unampenda na kumjali Sana na hauko tayar kumpoteza,hivyo kumfanya awe na confidence kuwa unampenda. Kinyume na hapo inamuonyesha kuwa haumjali na kwako sio ishu kuwa nae au kutokuwa nae.
Kwahiyo kumuonyesha wivu kidogo mwanamke wako ni Jambo muhimu Sana katika mustakabali WA ndoa yenu,kwani inaonyesha ni jinsi gani unampenda.
Amini usiamini mwanamke yeyote hupenda walau mara chache chache kuwa na mtu ambaye atampiga mikwala miwili mitatu ambayo itamuonyesha kuwa kweli yupo na mwanaume,lakini ukiwa too nice kwake amini nakwambia atashusha thamani yako coz atajiona kama yupo na mwanamke mwenzake vile,kama hunielewi juu ya hili ebu kuwa mpole Sana na muelewa Sana Kwa kila kitu anachofanya uone kama hajakupanda kichwani.
Kuna mwanamke alisikika akisema ningetamani Baba Fulani angekuwa sometime ananifokea au kunijia juu pale ninapo mkosea lakini yeye anakuwa mkimya Tu?
Pamoja na kwamba mwanamke utamsikia akilalamika sometime kuwa mume wake anashika Simu yake na hafurahishwi na Hilo lakini upande mwingine ukifanya hivyo walau mara moja moja inamfanya aone Una wivu nae na unampenda.
Anyways.....
Sikwambii kuwa ndio uwe unachunguza Simu yake mara Kwa mara laa! Nakwambia vile wao sometime huwa wanataka iwe hivyo.
Kwako Mwanamke, Boss huwa hachunguzwi Bali huwa anaheshimiwa Tu,kwahiyo mumeo ndio anakumiliki wewe hivyo huna mamlaka ya kumchunguza,kutaka kumchunguza mumeo Kwa kushika Simu yake basi ujue unaingilia mamlaka yake na kuhatarisha himaya yake. Angalia vizur wanawake wote ambao huwa wanalijua Hilo na kuliheshimu huwezi kukuta Wana mifarakano ya mara Kwa mara na waume zao,lakini angalia wale ambao ndio wakali katika mambo hayo jinsi wanavyoanzisha balaa katika ndoa zao kila kukicha.
Hivi ushawahi sikia mwanaume kafumaniwa?
Anayefumaniwa siku zote ni Yule anayemilikiwa kwasababu mwenye mamlaka naye anakila sababu ya kuchunga mzigo wake,na ndio maana baada Tu ya kuolewa mamlaka ya wazazi wako yanahamia Kwa Mume wako.
Jamani vipi sauti inatosha au niongeze?
Mbona siwaelewi wengine mnasema niongeze na wengine inatosha!
Ni hayo Tu!
Hatar mkuuNakubaliana na wewe ilibidi iwe hivyo ila Kwa tulipofikia ukitaka kichwa kikuume onyesha kujali
Mkuu kongole Kwa mchango wako wenye kilo za kutosha SanaVijana wa siku Hizi hawajui kuwa mke ili awe sawasawa lazma asimamiwe na Ni sehemu ya mapenzi.... Kuna muda mwanamke anaweza kukuletea mambo ya ajabu ..Kwhy lazma umuoneshe uanaume ,,,mume lazma abaki juu ndipo mapenzi yananoga ...
Ningependa kugusia kitu kimoja mkuu,ni kweli kukosekana Kwa pesa ndio kutakufanya ujue Tabia halisi ya mkeoMke wa nini wakuu si tumeshakubaliana hawa viumbe hawasomeki..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] .tukasema tutafuteni pesa
Back to topic naunga mkono hoja na ili umuendeshe ni sharti umzidi elimu,exposure, urefu,umri na pesa tofauti na hapo utamuendesha mwaka mmoja tu baada ya hapo harakati zake zitaanza na hakuna rangi utaacha kuona..huu ndo ukweli..naongelea experience yangu nishakuwa na mke hajui hata kusoma ila mwali akawa mpole miezi 6 tu baada ya hapo dharau mixer vitisho nikawa naletewa hasa nikifulia....now nataka mke mwalimu potelea mbali mia 2 zisimchenge nikifulia ajilishe mwenyewe kipindi mjuba na husstle huko.
Kuna member mwenzetu mmoja alisema Katika Uzi wake kuwa " mume wake hashiki Simu yake,ana mruhusu kwenda sehemu yoyote na akienda sehemu Bila kuaga wala haulizwi".
Na madam huyu alisema angependa kumuona mumewe anampenda Kwa kumjali na sio kuonyesha kutokujali.
Naweza kusema kuwa Ni kweli kabisa Kwa mwanamke kuhisi hivyo ni sahihi kabisa kwasababu mwanamke au mke ni mtu ambaye anamilikiwa au yupo Chini ya uangalizi wa mtu Fulani,hivyo Kwa mwenye mamlaka kushindwa kuonyesha mamlaka yake Kwa mhusika inaonyesha hakijali kile anachokimiliki au hakipendi kabisa.
Kumkontrol mwanamke Kwa kiasi fulani inamuonyesha kuwa unampenda na kumjali Sana na hauko tayar kumpoteza,hivyo kumfanya awe na confidence kuwa unampenda. Kinyume na hapo inamuonyesha kuwa haumjali na kwako sio ishu kuwa nae au kutokuwa nae.
Kwahiyo kumuonyesha wivu kidogo mwanamke wako ni jambo muhimu sana katika mustakabali wa ndoa yenu, kwani inaonyesha ni jinsi gani unampenda.
Amini usiamini mwanamke yeyote hupenda walau mara chache chache kuwa na mtu ambaye atampiga mikwara miwili mitatu ambayo itamuonyesha kuwa kweli yupo na mwanaume.
Lakini ukiwa too nice kwake amini nakwambia atashusha thamani yako coz atajiona kama yupo na mwanamke mwenzake vile, kama hunielewi juu ya hili ebu kuwa mpole sana na muelewa sana kwa kila kitu anachofanya uone kama hajakupanda kichwani.
Kuna mwanamke alisikika akisema ningetamani baba fulani angekuwa sometime ananifokea au kunijia juu pale ninapo mkosea lakini yeye anakuwa mkimya tu?
Pamoja na kwamba mwanamke utamsikia akilalamika sometime kuwa mume wake anashika Simu yake na hafurahishwi na Hilo lakini upande mwingine ukifanya hivyo walau mara moja moja inamfanya aone Una wivu nae na unampenda.
Anyways, sikwambii kuwa ndiyo uwe unachunguza simu yake mara Kwa mara laa! Nakwambia vile wao sometime huwa wanataka iwe hivyo.
Kwako mwanamke, Boss huwa hachunguzwi bali huwa anaheshimiwa tu, kwahiyo mumeo ndiyo anakumiliki wewe hivyo huna mamlaka ya kumchunguza. Kutaka kumchunguza mumeo kwa kushika simu yake basi ujue unaingilia mamlaka yake na kuhatarisha himaya yake.
Angalia vizuri wanawake wote ambao huwa wanalijua hilo na kuliheshimu huwezi kukuta wana mifarakano ya mara kwa mara na waume zao, lakini angalia wale ambao ndio wakali katika mambo hayo jinsi wanavyoanzisha balaa katika ndoa zao kila kukicha.
Hivi ushawahi sikia mwanaume kafumaniwa? Anayefumaniwa siku zote ni yule anayemilikiwa kwasababu mwenye mamlaka naye anakila sababu ya kuchunga mzigo wake, na ndio maana baada tu ya kuolewa mamlaka ya wazazi wako yanahamia kwa mume wako.
Jamani vipi sauti inatosha au niongeze?
Mbona siwaelewi, wengine mnasema niongeze na wengine inatosha!
Ni hayo tu!
Ngoja nitafute amplifier mkuuOngeza
Nasema ongeza sauti Hadi jukwaa la siasa wakupate mheshimiwa
Umeanza vizuri mwisho umekoroga!Mke wa nini wakuu si tumeshakubaliana hawa viumbe hawasomeki..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] .tukasema tutafuteni pesa
Back to topic naunga mkono hoja na ili umuendeshe ni sharti umzidi elimu,exposure, urefu,umri na pesa tofauti na hapo utamuendesha mwaka mmoja tu baada ya hapo harakati zake zitaanza na hakuna rangi utaacha kuona..huu ndo ukweli..naongelea experience yangu nishakuwa na mke hajui hata kusoma ila mwali akawa mpole miezi 6 tu baada ya hapo dharau mixer vitisho nikawa naletewa hasa nikifulia....now nataka mke mwalimu potelea mbali mia 2 zisimchenge nikifulia ajilishe mwenyewe kipindi mjuba na husstle huko.
Madam Firdaus9 asante Kwa kutupa mtazamo wako.Binafsi napenda mwanaume mkali yani awe ananicontrol yeye ndo aniamulie cha kufanya huwa naenjoy sana mwanaume mpole mpole mimi ndo niwe mfanya maamuzi hapana kwakwel
Tunatakiwa tufanye kila kitu Kwa kiasi mkuuHawa jamaa zetu huwa kuna muda baadhi yao hawajui wanataka nini hasa, ukimpa uhuru anaona humjali, ukim control anaona kama unambana,
Bahati mbaya ni kwamba ukimchunguza kidogo tuu utamani uwe afsa upelelezi kabisa, wekeza nguvu na akili kubwa kupambania Mali na pesa akizingua toa mbio wanao tafuta hisani ni wengi ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ
Hawa jamaa zetu kiukweli tunapaswa kuishi nao kwa akili ndio maana tulionywa mapemaTunatakiwa tufanye kila kitu Kwa kiasi mkuu
Tukipress Sana ni mtihani.
Binafsi sishauri kumchunguza kwasababu huwa ndio mwanzo WA matatizo.
Lakini Kikubwa ni kuhakikisha unakuwa incharge na heshima ichukue mkondo wake.