Wivu Katika Mapenzi unaleta Maana?..

Wivu Katika Mapenzi unaleta Maana?..

 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi,kinachokufanya uone/usikie wivu au hasira pale unabobaini mpenzi wako anagegedwa au anagegedana na mtu mwingine ni nini hasa???je unahisi anampa zile raha unazopataga wewe,au jamaa anamsulubu kwelikweli,au anasulubu kwelikweli,??ni nin hasa???
Mapenzi ndio yanakufanya usikie wivu na hasira...au we ulidhania ni nini?
 
Hapo sasa, unaionea wivu ya mwenzio ya kwako wala wewe ukienda kugegeda/kugegedwa wala hujionei wivu, mwenzio kaenda na ya kwake lakini unaona wivu
 
Mwanamke/Mwanaume wako asipokupa sababu za wewe kuanza kupatwa na wivu mtaishi kwa raha mustarehe. Tatizo moja wabongo hawajui maana ya kumpenda mtu ndio shida na kwa hali hiyo wivu hauepukiki kabisa.

Kwa akili ile ya kuhisi mapenzi ni kugalagazana vitandani tu bila kufuata taratibu zingine kama kujiheshimu ukiwa ndani ya mahusiano kama kuepuka michepuko na kuheshimiana zaidi wivu will forever be inevitable!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom