Hivi kweli jamani wivu ni dalili na alama ya upendo?. Au wivu ni ulimbukeni wa mapenzi?.Ama kunaaina za wivu?.Naombeni majibu ya kina katika haya, maana mara nasikia mtu kamuua mpenzi wake kisa wivu, kweli1. Ama kunauhusiano gani kati ya wivu na mapenzi au ndoa?.