Wito wangu kwa wana CCM

Wito wangu kwa wana CCM

JPM alikuwa mjinga tuu Kama wewe hana lolote la maana zaidi kukumbukwa kwa mauaji, watu wasio julikana, utekaji, upotevu wa Watu na umaskini. Kama Kuna maendeleo aliyafanya hakutoa pesa toka kwa mama au baba yake bali ni pesa zetu walipa kodi halali hapa nchini.
wewe unaunga mkono Oman kusaidia ujenzi wa bandari ya Bagamoyo?
 
Tatizo sasa hakuna chama kingine chenye hadhi ya kukabidhiwa kuongoza nchi. Ni afadhali ccm waielewe hali halisi ilivyo huku mtaani, wamwambie mama apishe ili waweke mtu mwingine anayeweza kukubalika na kufanya yale wananchi wanataka.


Kwa viongozi waliokuwepo sasa hawaaminiki hawatatupatia mtu wa maana…basi ni bora lipewe jeshi lituongoze miaka 20…
 
Kwa viongozi waliokuwepo sasa hawaaminiki hawatatupatia mtu wa maana…basi ni bora lipewe jeshi lituongoze miaka 20…
Sikubaliani na wewe kuhusu kuliingiza jeshi kwenye masuala ya kisiasa. Matatizo yetu ya kisiasa tuyatafutie solutions kwenye uwanja wa siasa. Tujadiliane, tuhojiane, tukinzane, humu humu kwenye majukwaa ya kisiasa mpaka tupate ufumbuzi wa kisiasa bila kuliingiza jeshi. Hivyo ndivyo tutakavyoweza kuikuza demokrasia yetu. Jeshi liwepo kulinda nchi na kuhakikisha kuwa demokrasia yetu na usalama wetu haviingiliwi na watu wa nje.
 
Naomba kuwaasa wana CCM wote Nchini.

Mkitaka kufeli kila kitu, endeleeni kujaribu kumdhihaki JPM

Watanzania hawa wa sasa si wajinga kama mnavyodhani. Wanajua kazi aliyoifanya JPM vizuri sana.

Viongozi wenu wasitafute kukubalika kwa kumdhihaki JPM. Kufanya hivyo ni sawa na kujaribu nguvu ya sumu kwa kuiramba.

Watanzania wa vyama vyote wanajua kuwa:-

*Wakati wa JPM umeme haujawahi kukatikakatika lakini sasa ni ovyo kabisa.

*Mfuko wa mbolea ulinunuliwa kwa sh.45000/50000 lakini sasa ni zaidi ya sh.120,000/-

*Bidhaa karibu zote zilinunuliwa kwa bei ndogo, lakini sasa zimepanda bei kwa zaidi ya 50%.
*
Dhalimu atafhihakiwa tuu kulingana na matendo yake ya hovyo,hakuna excuses yeyote hapo.
 
Back
Top Bottom