Naomba kuwaasa wana CCM wote Nchini.
Mkitaka kufeli kila kitu, endeleeni kujaribu kumdhihaki JPM
Watanzania hawa wa sasa si wajinga kama mnavyodhani. Wanajua kazi aliyoifanya JPM vizuri sana.
Viongozi wenu wasitafute kukubalika kwa kumdhihaki JPM. Kufanya hivyo ni sawa na kujaribu nguvu ya sumu kwa kuiramba.
Watanzania wa vyama vyote wanajua kuwa:-
*Wakati wa JPM umeme haujawahi kukatikakatika lakini sasa ni ovyo kabisa.
*Mfuko wa mbolea ulinunuliwa kwa sh.45000/50000 lakini sasa ni zaidi ya sh.120,000/-
*Bidhaa karibu zote zilinunuliwa kwa bei ndogo, lakini sasa zimepanda bei kwa zaidi ya 50%.
*