Shalom kwa hapa CCM ilipo tufikisha ni afadhali hata hiyo chupa mpya japo mvinyo wa zamani!
Hawa chukua chako mapema wanatumaliza, maisha yanazidi kuwa magumu kila kukicha , shilingi inashuka thamani ili hali haipatikani! Wao na vitukuu vyao wanazidi kujilimbikizia mali, na kun'gang'ania madaraka kwa gharama yoyote ile, TUMECHOKA!