beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Uje nikufanyie maombi ya upako. ya kukufungulia matatizo yako yote. yataanza leo saa mbili hadi saa kumi na mbili alfajiri. mia
Usiogope. Ni maombi ya mtu mmoja mmoja yaani mimi na wewe tu usiku kucha. huyo jg mwambie akupe nguo yake niiombee. miaHeeeee wewe maombi gan hayo? Mwambie jg
Pole mdogo wangu, Na karibu Home jamvini.
Hata nasi Twakupenda.
Ila umeniweka njia panda dadayo.
Dada mimi nimekuacha njia panda nin tatizo kwan dada
Kuhusu uumwacho mdogo wangu,
Kama ni Ujio mwema sema niandae "kibeseni"
anko ake ntaleta pampas za dubai ata acjali..
Umeona e,
tena na Bendi ya Kiduku toka Uganda ikodi ije.
emh fanya kuni pm jina la baba mtalajiwa maana mdogo wako BN akawii kuninii...
Baba mtarajiwa si huyu hapa anaefungua uzi huu!
Umemuona?
sijamwona banah..
Mimi Hapa ninaesoma post hii,ndie baba mtarajiwa.
Kuhusu uumwacho mdogo wangu,
Kama ni Ujio mwema sema niandae "kibeseni"
We juniour mbona hivo lakin mlinzi nan sasa wee wantafuta eeh shauri ako ntakumwangosye wewe [joke]bora maana nlidhani atampelekea mzigo yule mlinzi wao..