Withdraw method imenishinda

Hamna namba pambana na matokeo yatakayotokea ila kumbuka house girl ni wepesi kushika mimba kuliko vitengo vyote vya kazi nchini
Bora umemwambia,wana high affinity ya mimba hao,,ata sayansi inasema ivo
 
Ha ha ha ha ha uwe na asubuh njema usje ukapanic bure
Hahaaaa. Swahiba ningekuwa sikufahamu labda ila nakufahamu na najua ulivyo mchokozi hivyo hata siwezi panic swahiba.

Uwe na asubuhi njema pia.
 
Hahaaaa. Swahiba ningekuwa sikufahamu labda ila nakufahamu na najua ulivyo mchokozi hivyo hata siwezi panic swahiba.

Uwe na asubuhi njema pia.
Asante huna mfanya kaz nikamuamshie Dude kesho?
 
Duh!hii story sio ya kusoma ukiwa ukiwa peke yako inatia majaribu
 
Kila mchuma janga hula na wakwao:anza kununua nepi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…