babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 320
- Thread starter
-
- #21
Asante kwa ushauriKanunue postinor 2 pills pharmacy kabla ya masaa sabini na mbili ili izuie mimba,,cjui ni eftano
Alafu acha akugande ukishampa ivo vijidonge we endeleza dozi mradi usisaau ndomu ckuingine
Majuto ni mjukuu najuta mazoea nayeAiseee. Yaani kwa jinsi ulivyoipangilia sikutegemea kama utakuja na swali kama hilo ujue.
Ile nzury has a kwa chaputaHahaa af movie ya love ya yule jamaa na dem wake ina onyesha yale mambo live bila chenga kudadesa
Yaani hapo uko sahihi mie shahidi.Hamna namba pambana na matokeo yatakayotokea ila kumbuka house girl ni wepesi kushika mimba kuliko vitengo vyote vya kazi nchini
Epuka Noah na NissanNpita tu mkuu.....
Unajuta nini sasa?Majuto ni mjukuu najuta mazoea naye
Akipata mimba itakula kwangu,afu naskia hakuna house girl mgumba etiUnajuta nini sasa?
Ingia Google mkuu...yaan utamu ufaidi wewe huku mimba unaogopa kama akipata alafu madini tena tukupe..Hivi inachukua mda gan mpaka ukipima mimba ionekane
Itakula kwako vipi wakati mtoto ni baraka na unapolima unategemea mavunoAkipata mimba itakula kwangu,afu naskia hakuna house girl mgumba eti
Na huyu house girl c nitaozeshwa Mimi jamaniItakula kwako vipi wakati mtoto ni baraka na unapolima unategemea mavuno
Umeipenda enhee?Aiseee. Yaani kwa jinsi ulivyoipangilia sikutegemea kama utakuja na swali kama hilo ujue.
House girl ni status tu lakini lile tunda ulilokula halina tofauti na tunda la Mkurugenzi ama mwalimu n.k hivyo usikwepe jukumu kwani kuwa house girl ni dhambi (hiyo ni hatua ya maisha)Na huyu house girl c nitaozeshwa Mimi jamani
Cna mpango wa kuoa now mkuuHouse girl ni status tu lakini lile tunda ulilokula halina tofauti na tunda la Mkurugenzi ama mwalimu n.k hivyo usikwepe jukumu kwani kuwa house girl ni dhambi (hiyo ni hatua ya maisha)
Itabidi uoe kwa lazima sasa kama mimba ikipatikana na huo ndio utaratibu wetu waswahili...mimba ya bila kutarajia means NDOA YA LAZIMA ili binti wa watu asinyanyapaliwe maana ni wanaume wachache sana wa Kiafrika akiwemo Diamond Platinum na mimi ndo hatuna shida kuwa na mwanamama mwenye mtoto wa mwanaume mwingineCna mpango wa kuoa now mkuu
Mmh. Jamaani bonny naipendea nini mie maana cha zaidi nimeshangaa sana.Umeipenda enhee?
C wamekuamshia dude asubh asubhMmh. Jamaani bonny naipendea nini mie maana cha zaidi nimeshangaa sana.
Ni kweli kabisa ila kwani ule mchezo ukiucheza huwa unategemea nini?Akipata mimba itakula kwangu,afu naskia hakuna house girl mgumba eti