Wiretapping in Tanzania

Josh, hebu tizama anuani hii hapa chini:

MINISTRY OF DEFENCE AND NATIONAL SERVICE
Magore Street; Telephone:022 222155/9; Fax Na: 022 2152699;
Email: psps@cats-net.com; Website http://www.modas.go.tz
P.O. Box 9544 Dar es Salaam. TANZANIA.

Give me a break.

Bob Gates wa Marekani imeili zake ziwe zinahostiwa na Verizon Wireless?

Wizara ya Ulinzi? Hawalindi email zao wenyewe? Do want to say hawana hata robo ya siri moja wanayowasiliana kwa imeili?

Mlenge
 
Kama zana zetu za ulinzi tunampa ponjoro suleish atununulie then ukihoji wanakwambia mambo ya geshi ni siri siri ya nini?mi mzawa sitakiwi nijue ila ponjoro mwenye uraia wa kutia mashaka ndo anayejua!!! MIDANGANYIKA BWANA.........HOVYO KABISA NA SHERIA ZAKE ETI ZA MANUNUZI
 
Yaani upo bomba asilimia 100 na upo true asilimia 101 yaani we acha tu siku nyingine unasema kwakwara hawa majitu gani haya hayana hata utaratibu wameguka mbuni wanaficha vichwa kwenye mchanga wakati lijimwili lote lipo nje ha ha ha ha trueeeeeeeeeeeeeeeee
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=4i7vXSazuFc"]YouTube- Beware - Illegal software allows anyone to tap your cell phone[/ame]

This is what they do, wanaifanya spika ya cell phone yako kuwa mic na kukusikiliza.

Biashara ya kutapp kizamani is over. They don't need a consent from the court and go to a phone company ili wakusikilize/tapp your line. All they want is your namba.

Kumbuka, kama hii mambo ipo nje, FBI wana new tech.
 

Hii kali kweli.
kwa serikali siri ni physical documents. electronic documents "hazihitaji kuwa secured".
 
Labda mpango kama huu ningekuwa na uwezo ningeomba ushauri kwa George Bush maana yeye ndiye alishikia bango juu ya usalama wa Marekani na kufanya dunia yote iishi kwa kuogopa sana
 
Wanazo kibao na hata wakiambua kusensory email zenu wanaweza kufanya hivyo, ila kwa kibali maalumu kama ni ulinzi, Mimi wasiwasi wangu kuwa ni vigumu sana kwa watu kama sisi Watanzania kujua na kuona kuwa ni kitu gani cha kutapping au kuacha au ndio watafanya kama vile alivyotaka kumfanya Dr.Slaa maana huwa napata shida, Ni kitu kizuri ila ni kuwa na makini na specific kwa kila jambo la kufanyia tapping kama wewe unavyosema mkuu
 
Jaribu kusoma Tanzania privacy act ndio maana hata leo kunakuwa na shida sana hata kufanya kazi za wasanii wetu kuibiwa, Sisi bado sana labda kuhusu ulinzi wa Nchi kimataifa na mambo yote haya mfumo wetu bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…