umeformat hiyo laptop yako? hardware zote zilizopo kwenye computer zinahitaji drivers ili windows iweze kuzitumia na kuzielewa. cd za windows zinakuja packed with drivers za common hardware lakini unakuta kuna some types of hardware ambazo hazina drivers ndani ya window cd na inabidi ufanye manual installation.
kujua kama ni drivers za bluetooth hazipo, right click my computer>manage>device manager. then angalia icon zilizopigwa alama ya mshangao ya njano, jot them down and uandike hapa I'll let u know
pia, jaribu this simple test. nenda kwa any music file, right click>send to>bluetooth device uangalie windows itasemaje
kwa hayo mambo mawili, tutajua wats wrong with ur bt