Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,075 Reaction score 859,158 Jun 27, 2013 #1 Tunaposhuhudia saa za mwisho za.mzee Mandela, tumkumbuke pia mtaliki wale mama Winnie ,mpigania uhuru aliyesahaulika, mpigani aliyepambana na utawala dhalimu wa makaburu mumewe akiwa gerezani kwa takriban miaka 20!
Tunaposhuhudia saa za mwisho za.mzee Mandela, tumkumbuke pia mtaliki wale mama Winnie ,mpigania uhuru aliyesahaulika, mpigani aliyepambana na utawala dhalimu wa makaburu mumewe akiwa gerezani kwa takriban miaka 20!