Wingu zito mida hii Arusha

Wingu zito mida hii Arusha

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
499
View attachment 193044 pichani ni mtaa ninapoishi hapa arusha ,kwa sasa wingu zito na mvua imeanza kunyesha mvua ya nguvu,hii ndio arusha karibuni arusha

attachment.php
 
Mwisho wa dunia ndiyo huo kama hujawahi ona Hali kama hiyo kabla!!
 
upo kiroba cha ngapi? kidogo bia zinakubakishia akili ila viroba vinakula ubongo
 
Hizi pande inaonekana ni maeneo ya Ngaramtoni maana hata Eria za TV ni zile za kijanja zinazotengenezwa na TubeLight!

attachment.php
 
Itafikia point hata tukienda kukata gogo watu watapiga picha wapost tuwape ushaur wakae style gani
 
Acha bangi mkuu. Uko Arusha ya wapi mbona mimi niko hapa Arusha? Cc Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Hizi pande inaonekana ni maeneo ya Ngaramtoni maana hata Eria za TV ni zile za kijanja zinazotengenezwa na TubeLight!

jirani za siku......?.......hatuonani........
kesho tunaenda kutembea tembo.........?
 
Jana jioni kulikuwa na kawingu kazito!!!Ni kama mvua kubwa ilitaka kunyesha!!!!But cjaona mantiki ya post
 
jirani za siku......?.......hatuonani........
kesho tunaenda kutembea tembo.........?
Asante jirani lakini mimi nitakua napigika si unajua tena Unga robo na Xmass & new 2015 is around the Conner!
 
Asante jirani lakini mimi nitakua napigika si unajua tena Unga robo na Xmass & new 2015 is around the Conner!

Usijali jirani.....nimekuwakilisha vema.......
 
Back
Top Bottom