Wine na glass ya gongo lol!

Hii ni shida... apigwe fine huyu jamaa anadhalilisha hii kinywaji aisee.... Huyu mpare tu
 
Kali ya mwaka, tena hataa hivyoo viji glass unakuta vimewekwa bar eti uwekee beer, bongo kazi bado tunayo
 
mbona hiyo chupa ni kama zile banana wine au malaika, kama ni hivyo kwa glass hiyo ngoma droo...

Hilo box ni pernasol lakini hiyo nyingine sijawahi ona madukani labda kuna mtu anaweza kutuambia ni wine gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…