Windows XP kufungwa rasmi wiki ijayo.

Windows XP kufungwa rasmi wiki ijayo.

Masterproud

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2012
Posts
441
Reaction score
118
kampuni ya microsoft watengenezaji wa operating system za windows xp,7,8,Vista nk imetangaza kuifunga rasmi OS yake ya Windows XP. Pia imewataka wamiliki wa mabenki hasa Afrika ktk matumizi ya ATM, wametakiwa kubadiri 0S ili kuepuka usumbufu.
Sijajua kama wananchi wanaotumia XP wataathirika kwa namna gani. Je PC zitazima? Ni athari ipi yaweza kutokea?
Wadau karibuni tulijadiri hili.
 
Hii haimaanishi kwamba kompyuta au mifumo ya ATM inayotumia windows XP haitafanya kazi, isipokua Microsoft itasimamisha support (updates, security patches n.k) kama unatumia windows XP na haikupi taabu sidhani kama ni tishio sana. Unaweza jiandaa taratibu namna ya kubadilisha OS nyingine kama vile Windos 8 na nyinginezo.
 
Still Some Life In Windows XP

We are sad to report an impending death in the computer world.
It's not a person...it's our good friend, Windows XP.
Microsoft has announced that they will stop supporting Windows XP as of April 8, 2014.
What does that mean to you if you have XP on your computer?
Absolutely nothing!
The only thing that stops is Microsoft's research on bugs, security fixes, and updates for peripherals like printers.
As long as your computer is running well (and if it's XP, it probably is) and you don't add any new programs, you won't notice a difference.
Eventually, you'll be forced to give up XP if you want to use the latest software, because new programs will be written for Windows 7 and Windows 8. Some will have what we call "backwards compatibility," meaning the new program may still run on Win XP, but that number will shrink.
But for now, don't lose any sleep over it.
Over the decades, Windows XP has been one of the best, most stable platforms Microsoft has developed since Windows 98.

source

Computer tips and advice to help
 
kampuni ya microsoft watengenezaji wa operating system za windows xp,7,8,Vista nk imetangaza kuifunga rasmi OS yake ya Windows XP. Pia imewataka wamiliki wa mabenki hasa Afrika ktk matumizi ya ATM, wametakiwa kubadiri 0S ili kuepuka usumbufu.
Sijajua kama wananchi wanaotumia XP wataathirika kwa namna gani. Je PC zitazima? Ni athari ipi yaweza kutokea?
Wadau karibuni tulijadiri hili.

Kwa mtu asiejua maana ya technical support, akisoma huu ujumbe wako anaweza kuzimia, ume exaggerate sana mambo. Wanachosimamisha hawa MS ni updates na fixes, sio kwamba wanazuia programu hio isifanye kazi. Itaendelea kufanya kazi ila hakutakuwa na msaada wa kiufundi. Maelezo mazuri ameshayatoa Msamaria hapo juu.
 
Hii haimaanishi kwamba kompyuta au mifumo ya ATM inayotumia windows XP haitafanya kazi, isipokua Microsoft itasimamisha support (updates, security patches n.k) kama unatumia windows XP na haikupi taabu sidhani kama ni tishio sana. Unaweza jiandaa taratibu namna ya kubadilisha OS nyingine kama vile Windos 8 na nyinginezo.
Ni sahihi usemayo,lakini pia kumbuka kwamba washenzi wa mtandaoni wakijua win xp haina support ya Microsoft watatafuta security loopholes za win xp na kuziexploit. kwa hiyo wanaomiliki win xp wataumia hasa kama kompyuta zao zitaunganishwa kwenye internet. Ndo maana nawaambia marafiki zangu kwamba kwa kuwa Microsoft haitasupport tena hiyo os, hasilani wasihook up kwenye internet - watachanwa!
 
Nimekupata vizuri mkuu, nilichokua najaribu kuelezea ni jinsi mabadiliko haya ya Microsoft kusitisha support ya windows XP itakavyowaathiri. Nafikiri unajua kwamba wengine wanadhani kompyuta zao zitazima au kutokufanya kazi kabisa. Ndio maana nikatahadharisha kwamba lazima wabadilishe kwenda operating systems zilizopo mfano windows 7, 8 n.k.

Nashukuru kwa tahadhari yako na darasa mujarabu!
 
Back
Top Bottom