Windows task manager haifunguki

mfocbsjut

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
473
246
Habari zenu wana Jf.
Naomba msaada, laptop yangu tangu juzi imegoma kufungua windows task manager. Kila nikiclick ctrl+alt+delete naambiwa "windows task manager has been disabled by your administrator". Sasa nashindwa kuelewa wakati hapo awali ilikuwa inafunguka vizuri tu. Nimescan kompyuta nzima ila sijakuta virus. Halafu hata nikijaribu kuview hidden files and folders inashindikana wakati hapo awali ilikuwa inakubali bila shida.Tatizo ni nini?
By the way natumia windows xp sp2, ram 512 mb, hdd 80 gb, processor intel celeron 2.2ghz.
 
OK mkuu likely huyo ni kirusi without a doubt coz kama automatically inagoma kufunguka viruses wameshavamia.. je umescan

computer yake na antivirus gani na je iko Updated kabisa.. na umefanya full or fast scan...

Ok sasa tujaribu kuiactivate fuata maelezo kwa kina:

-Kwanza click WIN KEY + R kwenye keyboard yake na itafunguka RUN.. au nenda start then click RUN

-Andika gpedit.msc halafu hit enter... subiri kidogo mpaka ifunguke (but na kama iyo pia inagoma kufunguka then appo definetly ni kirusi)

-ikishafunguka nenda User Configuration then chagua Administrative Templates...System..Ctrl+Alt+Del Options.

-Then double click Remove Task Manager.. Select Disable then apply, ok, alafu close

-Alafu jaribu tena apo itakubali kufunguka... GUD LUCK!!!!
 
Computer yako imeingia Virus hiyo jaribu hii njia hapa chini

Find out how to quickly correct Task Manager Has Been Disabled By Your Administrator error code?


There are two main options to repair Task Manager Has Been Disabled By Your Administrator Error:



Advanced User Fix (manual update):
1) Switch on the computer or laptop and then sign on as the admin.

2) Click the Start button then click on All Programs, Accessories, System, and after that click Restore.

3) Inside the next window, click “Restore my machine to a previous time” and then click Next.

4) Pick the most up-to-date restore point in the “select a restore point” listing, and then click Next.

5) Click on Next within the confirmation window.

6) Restart the personal computer when the restoration is completed.




Beginner Method (completely automated):
1) Download the (Task Manager Has Been Disabled By Your Administrator) fix software program.

2) Setup software program and then click Scan button in the software.

3) Click on the Repair Errors button whenever the diagnostic scan is successfully completed.

4) Reboot the computer system.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom