Mambo vipi wakuuu, naomba msaada nataka ni-update simu yangu ya Nokia Lumia 520 kutoka windows 8.1 to windows 10, nimejaribu kuangalia kwenye orodha ya simu za windows ambazo zinatakiwa kuwa updated na windows 10 yangu haipo, Kuna msela wangu ana Lumia kama yangu ameweza ku-update ila jamaa kagoma kunielekeza.
Nisaidieni wakuu maana nakosa utamu wa baadhi ya app ambazo zipo compatible na w10 (facebook, instagram, facebook messenger n.k)