Chotti de Alba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 348
- 106
i wanted to say latesthtc lates ndio ipi? s6 edge ndio hio hio s6, ina specs kubwa zaidi kuliko s5 na s4 kama vile processor yenye nguvu zaidi, internal storage yenye kasi zaidi, display nzuri zaidi nk
Jaman mlioko dar lumia zilizo tangazwa hapo juz 950, 950xl na 550 zmeanza kuingia naitafta lumia 550 na bei yake imeanzia ngapi.... Maana hzo zngne najua siwez gusa bei....
Mkuu kwa hizi latest version za OS za windo, android na Ios ipi iko poaalumia 520 ndo cheapest kwa windows phone 8 around 260,000 hadi 350,000 wakati kwa android zipo nyingi nyingi tu around 150,000
Mkuu kwa hizi latest version za OS za windo, android na Ios ipi iko poaa
inategemea na matumizi na kitu gani unataka kwenye simuMkuu kwa hizi latest version za OS za windo, android na Ios ipi iko poaa
kuagiza bidhaa nje, kusomea, internateinategemea na matumizi na kitu gani unataka kwenye simu
os zote zinafanya mambo hayo, tafuta tu simu nzuri ya budget yakokuagiza bidhaa nje, kusomea, internate
developer ni mtu anaetengeneza application unazodownload store, ukieka on developer option inamaana unapewa ruhusa ya kutest application ulizotengeneza. ila kwa windows phone watu hutumia mwanya huo ku pirate decrypted apps na games kwa kutumia bure bila kulipiaWindow ndio kila kitu nazielewa sana na je nini kazi ya developer option kwenye window ten nimeiona upande wa setting
Lumia 950 using mtalk
Funguka kidogo niweze kuijua hiyo trick ili niweze kufaidideveloper ni mtu anaetengeneza application unazodownload store, ukieka on developer option inamaana unapewa ruhusa ya kutest application ulizotengeneza. ila kwa windows phone watu hutumia mwanya huo ku pirate decrypted apps na games kwa kutumia bure bila kulipia
soma hapa kwa windows 10Funguka kidogo niweze kuijua hiyo trick ili niweze kufaidi
Lumia 950 using mtalk
huzikuti page ile ile unatumia menu za juu angalia utaona games apps etc kwenye header ya websiteMkuu naifikia mpaka site ila kwa hatua ya mwisho nashindwa kabisa kuziona apps
Lumia 950 using mtalk