Windows phone vs android niende wapi?

nadhan Hata Kwenye I Devices Pia Hakuna Hyo System Wide
bb hazina, iphone hazina, android haina (os) ila unapata third party

nimetafuta sana playstore file manager zenyewe zina limitation sio kwamba ni nzuri kama za symbian au windows explorer kwenye pc.

1. ukicopy kitu ukapaste hapo hapo ukifanya activity nyengine kinapotea kwenye clipboard
2. havionyeshi system files (kama symbian)
3.haimanage vitu unavyoconect na usb (kama symbian)
 
chief asante sana hakika nimepata shule tosha. ila kwa nini wasikupe Nokia E.A marketing manager?
 
Wakuu mm nipo zaidi kwenye upande wa Android coz hii os kwanza ni opensource hii inamaanisha kwamba mtu yeyote mwenye uwezo anaweza kuicustomize iweze kuingia kwenye handset yake kama unavyoinstall window latest version kwenye komputer yako!!!!its totally possible!!!mm binafsi ninatumia the latest android version ambayo nimeidownload na kuiinstall kwenye simu yangu ingawa kampuni ya simu yangu walishaacha kusupport latest android releases kwenye hii model ya simu yangu....Ukija kwa window phone utagundua kwamba Hiz window os sio opensource na imefungwa na hawa jamaa wa microsoft kwa hiyo wewe kama una nokia flani ina window phone 8 then huko mbele ikatoka window phone 9 for example na nokia wasitoe upgrade release ya window phone 9 kwa handset yako then solution ni kununua phone mpya yenye window phone 9 ile uweze kupata features za hiyo os mpya!!!Tofauti na android kuna custom os nyingi out there unaweza ukainstall kwenye handset or tablet yako!!!! pia bila kusahau ubuntu wanatoa os ambazo zinaweza kuingia kwenye android tablets na simu ambayo unaweza ukaiinstall desktop apps kwenye handset yako!!!! soma hapa Ubuntu on tablets | Ubuntu!!!! Mtazamo wangu......๐Ÿ™‚
 
mkuu open os ina faida na hasara zake. mfano makampuni mengi kazini hawatumii open os sababu code za open os zipo wazi mtu yoyote anaweza akaona unachofanya.

wp8 so far haijawa hacked ni safe kwa wafanyabiashara ila ile wp7 washaihack kule xda vitu kama file manager, custom rom vipo.

hata hii wp8 watu wakihack utaweza kufanya hayo mambo ya kueka rom wp8 ina miez sita tu wakati android ni mwaka wa 6 huu.

kuhusu simu kurun desktop app nahitaji convicing power kubwa sana kuchange mind yangu sababu ni hii.

-desktop app zimekua programed kurun katika special processor (za intel na amd)

-even arm pc hazirun desktop app mfano windows rt based tablets

-even inttel atom haiwezi kuhandle power ya desktop app

je simu zitaweza? na hivi vi qualcom na mediatek?

unaweza pata ui ya desktop ila power ya apps kama photoshop sidhani kama itakubali kwenye simu
 
chief-mkwawa inaonekana kweli wewe umzoefu na hivi vijamaa! mimi nimenunua nokia lumia 610 huko sweden si kwa sababu maalum bali kuipenda tu, lakini nilipofika nayo tz ikawa inanisumbua haitaki mambo ya tigo pesa wala kabaang! yaani ukiweka codes tu *150*01# inakwambia session terminated, jee imewahi kuliona hili, jee tatizo katika simu au mtandao wenyewe, jee jambo hili linaweza kurekebishika na wali? kwa sasa nimeona shida hii tu kwa sababu mimi napiga simu na kutumia tigo/m-pesa etc sijawahi hata kupiga picha au kuweka mziki!!! naomba msaada wako, thanks!
 

mkuu hizo ussd hazikubali hio simu.
 
mm naomba msaada wa kuinstal apps na haya mambo ya android or window cna uelewa nayo sana. simu yangu ni iphone 4s. MSAADA TAFADHALI
 
mm naomba msaada wa kuinstal apps na haya mambo ya android or window cna uelewa nayo sana. simu yangu ni iphone 4s. MSAADA TAFADHALI
 
Msaada nili-root simu yangu inayotumia android,nikafuta Rom kwa bahati mbaya,nikiwasha simu inaishia logo ya Tecno tu,na inataka ku-update hyo Rom from Sd nifanyaje?
 
 
mkuu Nina haka ka htc 8x tiles Zimetawanyika tofauti na nilivonunua nimejaribu kutafuta option ya factory resseting ili kuirudisha nimeshindwa je nafanyaje kupanga zile tiles. Na je Ni kweli simu hii haina fm radio cz mi huwa napendelea kusikiliza radio kwenye simu
Asante!
 

bonyeza tiles husika kwa mda mrefu mpaka utaona kwa pemben kumetokea kimshale kibonyeze hiko kimshale kubadilisha ukubwa wa tile kuwa ndogo saizi ya kati au kubwa. pia hapo hapo utaweza kumove kutoka eneo moja kwenda nyengine ili kuziba nafasi ambazo zipo wazi.

kuhusu suala la fm radio ni kwamba simu hizi za windows phone hazikuja na radio ila hardware zake zina radio hivyo zikawa zinahitaji tu application ili kuwepo hio radio.

manufacture wote ikiwemo htc wakatoa update (gdr 2) ili kuzipa simu zao uwezo wa kua na fm radio. kama simu yako haina fm radio ina maana huja update bado unatumia version ya zamani.

nenda setting then kacheki update, kisha update simu yako fm radio itakuja
 
Android mpango mzima window phone no nzuri lakini huwezi kufurahia kama android
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ