Gambler,
Utatuzi wa shida yako sio kuondoa hiyo msg, haitatoka. Cha kufanya ni kuweka windows nyingine genuine katika hiyo tarakilishi yako, kwa kuondoa hiyo iliyopo. Muone fundi yeyote wa PC aliye karibu yako, huenda anayo hiyo windows XP genuine. Km uko DSM ama maeneo ya jirani naweza kukusaidia.
Kila la kheri.