Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 203
how about facebook,remainingi 97.4% they will buy it????
Microsoft kupitia msimamizi wake wa kitengo cha Windows, leo mchana wamezindua rasmi (at least kwa kuiongelea kidogo) OS yake mpya kabisa ya WINDOWS 8.
Officially WINDOWS EI8GHT itaachiliwa around 2011 mwishoni au 2012 mwanzoni. Sytosky, msemaji wa MS kitengo cha windows leo amesema kwamba windows 8 itakuwa na the following features:-
* Internet Explorer 10
* Two kinds of applications; first kama zile za win 7 that is classic window apps; and two, those that are built in HTML5 and JS, yaani Javascript (pretty much like a mobile app in full pc screen)
* Fast-launching apps kutoka kwenye tile-based hadi a customizable, scalable, full screen view of apps.
* Live tiles with notifications, showing up-to-dated informations about your apps.
* Fluid natural switching of tabs btn running apps
* Touch-optimized browsing, with all the power of hardware-accelerated IE 10
* Web-connected, web-powered apps built using HTML5 and JS.
All in all, WIN8 ina features nyingi ambazo win7 haikuwa nazo. Pretty much, muonekano wake UI umepokea kasoro nyingi, wengi wakisema umekaa much more like a mobile os than a pc os. Personally, i would love to see if they have hit the booting speed like that of linux. I'll post the beta version when I get a copy.
Mimi acha nionekane wakuja. Hujaniamisha xp! Nilishajaribu 7ven ikaniboa sana..
Kitu nilichogundua ni kwamba kwa matumizi yetu majority ya wa tz bado tungeweza kuendelea na win 98 tu. Hdd 3gb, ram 128 basi. Hii kutuletea mi window ina requirements kuuubwa wakati matumizi yenyewe hatuna ni kutuibia tu. Hdd 500 gb, ram 4gb.. Za nini? Waai..!
Sidhani but kama Fb ni priority kwa sasa . Nadhani miaka si mingi watainunua kabisa Nokia.
As fufutre ya web na internet iiko kwenye mobile devices.
Window are Looosing it!! Mi nadhan kuanzia XP kurudi chini kama windows 95,98,2000, hadi xp hizo ndio zipo poa at least hazipo complecated!!!
wanachokosea wao ni ku assume kuwa kila mtu ana LATEST computer 4gb ram VGA latest with good processor speed...they are so wrong!!!
si wote wanaweza especialy in third word like tz....Namshukuru sana jamaa aliye ni introduce kwa linux Especial UBUNTU dah!!!!
ubuntu is the only Best Os so Far....tena ni freeeee...tena inaongozwa na jamiiiii......tena no virus.....tena freee update...tena freee...softwares.....tena tena dah!! ubuntu is for human Being siwezi tumia Windows.....madirisha ya microsoft yana madhara yake....mengi tu!!
Hamieni Ubuntu tena wametoa latest version 11.04
Ubuntu is, and always will be, absolutely free. Created by the best open-source experts from all over the world, Ubuntu is available in 24 languages and ready for download today.
www.ubuntu.com