Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Hii kitu wale wahanga kama mm wakupenda Metro UI kiko hewani so tukisikilizie Wale wa 32bit seeders wachache mno kiasii cha kuchukua masaa 5 kuwa cached kwenye zbigz Wakati wale wa 64 bit kitu kina seeders wengi ..May be wale wenye Premium watu cachie afu watupie hapa CHUKUA 32bit TORRENT CHUKUA 64bit TORRENT