Windows 11 upgrade

Mimi kwangu vile vile tu, around hizo sekunde mpaka 10. Sema ni ssd. Hizi windows mpya zinapenda sana storage zenye kasi.
 
mkuu Cheif izo details vp win 11 itakaa au niendelee kupambana na win 10
 
Kwa dell latitude E5430 INA RAM 4 NA BIT 64 CORE I5 GEN 3 HII YANGU ITAFAA KUINSTALL WIND 11
 
Pamoja na vigezo vingine ila Trusted Platform Module V.2.0 nadhani huu ndio mwiba zaidi, pc nyingi za zamani na hata za sasa zilizopo madukani hazina hii
iyo trusted platform module V.2.0 Unaiangalia wap
 
Siku ya leo nimeitenga kwa ajili ya Kuinstall Win11 nione hayo mautamu yake.
 
Aliyesoma hii anisimulie
 
Acha nipambane na win 10 hii win11 iachane na mimi kwa sasa japo inaniletea ni update.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…