Windows 11 upgrade

Nimenavigate kwenye bios kila option sijaona hiyo kitu. Na kwenye device manager hakuna hiyo security devices pia. Nami niliangalia specs za hii pc kwenye mtandao zinaonesha tpm 2 ipo ila kwakweli sijaiona kabisa
 
Nimenavigate kwenye bios kila option sijaona hiyo kitu. Na kwenye device manager hakuna hiyo security devices pia. Nami niliangalia specs za hii pc kwenye mtandao zinaonesha tpm 2 ipo ila kwakweli sijaiona kabisaView attachment 1965472
Ile njia ya run ya ku type Tpm.Msc ukiingia hakuna option ya ku initialize hio Tpm?
 
Nimenavigate kwenye bios kila option sijaona hiyo kitu. Na kwenye device manager hakuna hiyo security devices pia. Nami niliangalia specs za hii pc kwenye mtandao zinaonesha tpm 2 ipo ila kwakweli sijaiona kabisaView attachment 1965472
Mkuu kwani wewe ni IT? Kama siyo unaonaje nimtume kijana aje hapo kukurekebishia vitu vingine tugawane tu majukumu.
 
Hata kwa hii njia inaniambia TPM 1.2 not found or disabled..
 
Mkuu kwani wewe ni IT? Kama siyo unaonaje nimtume kijana aje hapo kukurekebishia vitu vingine tugawane tu majukumu.
Mimi sijasomea IT ila walau nina experience ya 20+ years ya kudeal na pc zangu mwenyewe na za washkaji. Mimi nipo Dodoma ndugu sijajua nawr upo mkoa huu.
 
Hata kwa hii njia inaniambia TPM 1.2 not found or disabled..
Official Microsoft wame confirm Tpm si lazima, ila wameonya mbele ya safari unaweza usipate security updates.

Kuna tool pia hapo kwenye link ya kutengeneza image ya win 11 isio hitaji Tpm
 
Kwako iyo spm ndio kama TPM kwa sisi wengine boss
 
Tatzo litakua kwenye izo license za software ila updates utapata kama kawaida..
 
Ahsante mkuu nitaipitia hii nione ingawaje nimeoma wanasema requirement ya tpm 1.2 ipo, ila sijajaribu bado ku edit registry nikaona kama itavuka au la.
 
Nimeipokea leo na hp elite book 840
 
Nimejaribu kufuata njia za kuedit registry iliyooneshwa humu na nyinginezo ila kihunzi hakijavukika bado
 
Hatimaye nimefanikiwa ku upgrade kwenda windows 11 kwa kufuata ushauri wenu humu, ahsanteni sana. Nilichokiona so far nikuchelewa kidogo kwenye kuboot tofauti na windows 10.
1. Kuboot mpaka kufikia kuweka password imetoka wastani wa 6 sec kwenda 11 sec
2. Kuwaka kabisa mpaka kuweza kufanya kazi imetoka wastani wa 15-20 Sec kwenda 40-46 Sec.

Ahsante sana, labda nawengine munipe experience zenu
View attachment 1967047
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…