Windows 10 october update 1809

Windows 10 october update 1809

Ommydeking

Member
Joined
Sep 27, 2018
Posts
26
Reaction score
15
Kampuni ya microsoft imefanya maboresho kwenye program endeshi (windows 10) ikiwa wameongeza baadhi ya vitu ambavyo kusema ukwel n very helpful. Baadhi ya maboresho yaliyofanyika ni kama yafuatayo:
1. Clipboard history
2. Search engine
3 .Dark theme ( ina muonekano mzuri sana)
4 . Snap & and sketch ( Hii ni tool mbadala ya snipping tool kwa ajili ya kufanya screenshort ya PC)
5. Task manager inaonesha battery usage ( Yaan n program gan ambayo inatumia chaji nying kwenye computer ako)
6 improved microsoft edge browser ( wameweka option ya kuzuia automatic display ya video unapoingia kwenye website yoyote)
Hzo n baadhi ya update ambazo nmeziona ...but imeongeza vitu vingi kwenye windows 10
 
Fungua kwenye setting then nenda kwenye updates and recovery
Check for updates
Download updates
 
Hii update si ilifuta data za watu wakaisimamisha kwanza? nani ameupdate ? is it safe now?
 
Iko pouwa mzee we update tu
1540505151456.jpeg
 
Kampuni ya microsoft imefanya maboresho kwenye program endeshi (windows 10) ikiwa wameongeza baadhi ya vitu ambavyo kusema ukwel n very helpful. Baadhi ya maboresho yaliyofanyika ni kama yafuatayo:
1. Clipboard history
2. Search engine
3 .Dark theme ( ina muonekano mzuri sana)
4 . Snap & and sketch ( Hii ni tool mbadala ya snipping tool kwa ajili ya kufanya screenshort ya PC)
5. Task manager inaonesha battery usage ( Yaan n program gan ambayo inatumia chaji nying kwenye computer ako)
6 improved microsoft edge browser ( wameweka option ya kuzuia automatic display ya video unapoingia kwenye website yoyote)
Hzo n baadhi ya update ambazo nmeziona ...but imeongeza vitu vingi kwenye windows 10

Feature nzuri sana hizi wamejifunza Kwa MAC Os Mojave ..

Kwa upande Wetu ambapo hamna WiFi ya uhakika kitendo cha kulazimisha update za mara Kwa mara zinawaumiza sana watu kibongo bongo ingawa security imeongezeka sana. Hamna kipindi ambacho windows imekuwa secure and fast kama kipindi hiki.
 
Kama you’re crackers lover do not update this window ina security kali sana kiasi kwamba software from unknown publisher ziko blocked

Update if you’re a normally user
 
Kinachotakiwa ni kuzima window defender wakati wa kufanya cracking baada ya hapo mambo yanakua pouwa au unaweza kuweka exclusion kwenye hzo apps
 
Execlusion baada ya kuinstall sio kabla ndo shida
 
Kampuni ya microsoft imefanya maboresho kwenye program endeshi (windows 10) ikiwa wameongeza baadhi ya vitu ambavyo kusema ukwel n very helpful. Baadhi ya maboresho yaliyofanyika ni kama yafuatayo:
1. Clipboard history
2. Search engine
3 .Dark theme ( ina muonekano mzuri sana)
4 . Snap & and sketch ( Hii ni tool mbadala ya snipping tool kwa ajili ya kufanya screenshort ya PC)
5. Task manager inaonesha battery usage ( Yaan n program gan ambayo inatumia chaji nying kwenye computer ako)
6 improved microsoft edge browser ( wameweka option ya kuzuia automatic display ya video unapoingia kwenye website yoyote)
Hzo n baadhi ya update ambazo nmeziona ...but imeongeza vitu vingi kwenye windows 10
Wakuu naombeni msaada wa mawazo na ushauri jana nimenunua Nokia Lumia 640 naombeni msaada niweze kuinstall whasapp,facebook na mengineyo
 
Sana sasa ukitaka kuenjoy ni zile windows 10 apps store kuna games zinarun fresh balaaa hasa online multiplayer offcoz natumia IPO deeep
 
Back
Top Bottom