windows 10 lite
Kuna mtu ameshawahi fanya hivyo?
Hakuna shida yoyote.Kwa wataalamu kuna shida yeyote mtu akifanya hivyo?
Sahihi,official toka microsoft
Thanks chief.
- Ninatumia na haina shida yeyote, last installation nilifanya April 2020 hadi sasa sijabadili.
- Nasubiria Win 11 lite ndio nitabadili hii ya sasa
Hakuna shida yoyote.
Utafurahia jinsi PC yako itakavyokuwa nyepesi.
Je best lite ISO utapata wapi?
- Mimi huwa nachukua hapa kwa OPREKIN
View attachment 1973718
Vitu vya kuzingatia kabla ya kufanya installation ya Lite version.
Hapo inakuwa tayari kwa matumizi.
- Hakikisha unafanya update ya drivers unazotumia sasa.
- Kisha fanya backup ya drivers Huwa natumia Double Driver kufanikisha hili.
- Baada ya installation rudishia drivers zako.
Like updates and security patches?
Best window ever ndo natumia mmNimeona sehemu mtu ameweka windows 10 lite toka torrent.
Got me thinking of doing the same in my pc.
Kuna mtu ameshawahi fanya hivyo? Kwa wataalamu kuna shida yeyote mtu akifanya hivyo?
Chief-Mkwawa naomba mtazamo wako.
je Ili kudownload ISO toka OPREKIN ni lazima ulipie membership.?Sahihi,
Unachukua official iso toka microsoft na kuondoa vitu usivyo hitaji au vitu visivyo na umuhimu.
Zipo tools za kufanya hiyo kazi ya kuondoa au kuongeza vitu katika official release.
Tangu nimgundue Oprekin, nimekuwa natumia matoleo yake.
Sahihi, Nimelipia, Nimedownload na kufanya installation Win 11 Pro liteje Ili kudownload ISO toka OPREKIN ni lazima ulipie membership.?
Tugawie maupendo hata kwa shared costSahihi, Nimelipia, Nimedownload na kufanya installation Win 11 Pro lite
View attachment 2104807
Nimechukua Premium ( $16)
View attachment 2104819
View attachment 2104822
Nicheki PM, tuangalie huo uwezekano.Tugawie maupendo hata kwa shared cost
Microsoft hawana version ya windows 10 inayoitwa Windows 10 Lite. Download at your own risk.Nimeona sehemu mtu ameweka windows 10 lite toka torrent.
Got me thinking of doing the same in my pc.
Kuna mtu ameshawahi fanya hivyo? Kwa wataalamu kuna shida yeyote mtu akifanya hivyo?
Chief-Mkwawa naomba mtazamo wako.
Mbona kila la kheri karibia kila sehemu?Kila la kheri...
Mambo yangu niachie mwenyewe...Mbona kila la kheri karibia kila sehemu?
Mzee wa MTOA MADA FUATA MUONGOZOMambo yangu niachie mwenyewe...
Hakika...Mzee wa MTOA MADA FUATA MUONGOZO