Windows 10 keeps getting better

ICEMAN DUKE

Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
31
Reaction score
17
habari wanajamii nianze na kusema kwamba nipo humu ndani ya jamii hii kwa ajili yakutoa msaada leo nimekuja na habari mpya.napenda niwaeleze kuwa kwa mtu yeyote yule ambae ana miliki pc (computer) iwe desktop,laptop,surface,windows mobile phones(nokia lumia, htc nk)kama unamiliki hivyo vifaa ambavyo nimetangulia kuvitaja hapo juu na unatatizo la windows kwenye vifaa hivyo basi haijalishi upo mkoa gani au nchi gani tatizo linaweza kupona kwa haraka sana.najua wengi wenu mutajiuliza kuwa iyo windows utaipataje wakati wewe labda upo ARUSHA,MOROGORO,MBEYA,DAR,KIGOMA hilo si swali lakujiuliza kama mnavyojua baadhi yenu kuwa dunia na technology imepanuka kwa kiasi kikubwa sana karibuni sana ndugu zangu.


(you can catch me on WhatsApp:0657586916)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…