Windows 10 installation stuck after windows logo

Windows 10 installation stuck after windows logo

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,189
Reaction score
6,248
Habari wakuu,

Nina desktop yangu aina ya Asus inasumbua.

jana wakati namaliza shughuli zangu, niliacha wazi usiku kucha. Leo naiamsha naikuta screen imekwenda kwenye bios moja kwa moja. Sijaelewa nini kimetokea, nime click save and exit kwa bahati mbaya ikarudi tena. Kila nikifanya hio process inarudi hapo hapo. Nimejaribu kwenda kwenye boot settings nimechange, imeboot hata window haijaload inanambia kuwa recent software or hardware change might cause the issue. Cha kushangaza sasa sijadownload chochote siku nzima wala sijachomeka any device. Nimefanya research Asus wanadai kuwa wanakuwa na hidden partition kwenye pc zao in case main storage iki corrupt. nimejaribu lakini still nothng same erro.

Sasa nimedownload windows creation tool from microsoft. Nimefata hio process na kutengeza windows irun from flash. Nimechomeka flash disk yangu matokeo yake imenipa moyo mpaka kwenye logo ya windows, ikaondoka baada ya hapo hakuna kitu for hours.

wataalamu naomba msaada hapa nini cha kufanya. Hii hard drive kwanza ina alot of important information sitaki kuzipoteza.

Msaada wenu.

Note: Pc ilikuwa ina run windows 10 pro, nimetumia hio creation tool from microsoft kwenye pc nyingine ambayo ni same model na sem os version.

CHIEF MKWAWA na wengineo msaada tutani plz
 
mkuu ungeanza na kuifanyia backup hio HDD pengine yenyewe ndio ina matatizo na inaanza kufa.

mimi hutumia mini tool partition wizard, wana version ambayo unaboot na flash,

ieke kwenye flash then boot then utaiona HDD yako na mafile yake kisha fanya mpango wa kuyahamisha. itabidi utafute HDD ya kuyahamishia

Bootable Partition Manager| MiniTool Partition Wizard Bootable Edition
Asante kwa reply.

Nlivofahamu ni kwamba hii process ya kudownload na kuieka kwenye flash hii mini tool system niifanye kwenye computer nyengine then nichomeke kweke kwenye hii computer ilokataa kuboot si ndio?

Nitakuletea mrejesho
 
Asante kwa reply.

Nlivofahamu ni kwamba hii process ya kudownload na kuieka kwenye flash hii mini tool system niifanye kwenye computer nyengine then nichomeke kweke kwenye hii computer ilokataa kuboot si ndio?

Nitakuletea mrejesho
yap hivyo hivyo, ukishakuwa na backup utakuwa na uhuru wa kujaribu kila kitu.
 
yap hivyo hivyo, ukishakuwa na backup utakuwa na uhuru wa kujaribu kila kitu.
Mkuu nimeona bora niipeleke kwa expert mana nilihofia nisije kuvuruga zaid... Asante sana kwa recommendation na msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom