mkuu siku hizi ni flash tunatumia ila sio mbaya unaweza tafuta wa ban CD unampa ata buku 3 anakupa CD unapiga Windowsmkuu nimeomba cd sijasema uniorodheshee mali zako,asante lakin
Ukihitaji data recovery services tuwasiliane. Kwa Dvd huwezi pata nyingi ni feki kwahiyo download kwenye website ya microsoft. Cha kuzingatia angalia specification za PC zako kama ina support 32/64 bitsawa mkuu hapo point nayo pata ni ku download tu hiyo installation pack tu.
Mimi ninayo but nipo ukonga.Habari wadau, natafuta mwenye windows 10 installation disc tuwasiliane. Nimeivuruga pc yangu ndo nataka nianze upya kabisa. Napatikana Dar