Usirudi nyuma, jifunze kutumia window 10 kwa sababu microsoft wanajiondoa taratibu kwenye kuisupport window 7 kama vile kutoa security na baadae wataifungia na kuifuta kabisa kama walivyofanya kwenye window za nyuma za 2000,1995 e.t.c!!......usirudi nyuma, jifunze kutumia na kuupdate window 10,technologia inavyoenda mbele wewe usirudi nyuma kamwe!