Microsoft kama kampuni nyingine za software wana-tangazaga Product LifeCycle ya software wanazo-zijenga. Kwa XP kuna End-Of-Sale ilikuwa mwezi wa 6 2008, hio ina-maanisha baada ya hiyo tarehe huwezi pata computer mpya kutoka kwa manufacturer kama Dell, Toshiba etc, ikiwa pre-installed na XP. labda ununue used/refurbrished product. Product lifecycle ya XP inajumuisha Support kwa hiyo OS vile vile na Microsoft wameweka kwenye site yao kuwa wataendelea kui-support XP hadi 2014. Quoted on "Windows lifecycle fact sheet - Microsoft Windows"
Kwa maana hiyo ni kwamba kama una XP baada ya hiyo tarehe 2014 haitawezekana kupata zile Updates kama umei-configure computer yako yenye XP kuzipata automatically au hata manually, labda uzipate kwa 3rd party software vendor, ambayo inaweza kuwa hatari sababu uhakika wa genuine update hauna. Kwa hiyo XP sio no longer in use, bali prepare to upgrade kama una uwezo au switch kabisa kwenye ulimwengu wa open-source software kama sisi.
Zipo nyingi tuu fuata link hapo chini kuzijua chache. Kigumu kwenye OS hizi nyingine ni mazoea tuu. Wazungu wanaita "Learning curve". Lakini ukishai-zoea unaweza kusahau kulipia OS milele.
kama ni ya 32-bit/x86 kamata hapajamiiforums.com - shrink your URLs and get paid! na ya 64-bit/x64 twende huku "http://jamiiforums.com/4BFed"
N.B ukishafungua link unayotaka check upande wa juu kulia unaona counting number so subiri hadi imalize then click hapo palipoandikwa skip AD itaanza kudownload Directly(IDM muhimu uwe nayo)
Usifikiri kuongeza ram na hd ndio suruhisho la wewe kuweza kutumia win7. Bado kuna tatizo la video graphic resolution.
Nakushauri u-compatibility upgrade advisor ili uone kama kompyuta yako ina uwezo wa kuchukua win7.
Fungua link hii hapa chini upakue na kuendesha upgrade advisor. Ila hakikisha kuwa kompyuta yako imeunganishwa na intanet ili uletewe ripoti toka microsoft. Ripot itaekueleza kama unaweza weka win7 au la.