PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,480
- 46,528
Wiki iliyopita aliulizwa swali bill gates kuhusu Os ambayo anaweza kuitumia na akajibu ni Android,kwangu mimi sidhani kama wataweza kupanda chati kwa kifupi ni bora wakomae kwenye x box na computer tumkuu bado simu/vifaa vidogo vipo on track sema havitakuwa kama unavyofikiria, Nadella amesema wanataka ku define market, kitatoka kitu chenye muundo mdogo kama simu lakini hakitaitwa simu kitakuwa na jina jengine na ufanyakazi wake utakuwa mwengine.
Ngoja windows on arm itoke tutajua mengi.
drone labda au jinimkuu bado simu/vifaa vidogo vipo on track sema havitakuwa kama unavyofikiria, Nadella amesema wanataka ku define market, kitatoka kitu chenye muundo mdogo kama simu lakini hakitaitwa simu kitakuwa na jina jengine na ufanyakazi wake utakuwa mwengine.
Ngoja windows on arm itoke tutajua mengi.
soko lipo mkuu, wao wanang'ang'ania kutengeneza os yenye restriction kama ios kwa ajili ya security hilo ndio Tatizo,View attachment 606115 View attachment 606115
Wiki iliyopita aliulizwa swali bill gates kuhusu Os ambayo anaweza kuitumia na akajibu ni Android,kwangu mimi sidhani kama wataweza kupanda chati kwa kifupi ni bora wakomae kwenye x box na computer tu
Mashine kama hizi ndio
Atleast I got youkikunjo au kibinuko
Android ndio mji OS wa maana siku zote, i wish ifike time niweze kushare windows apps zangu kwenda android.[emoji23] wa kwanza kuachana na windows phone alikua Bill Gates....ali switch to android
hio mbona ipo? windows 10 inatumika maeneo mengi kushinda android, na continuum haihitaji kuiandika upya ina adapt yenyewe automatic, mfano simu ukiconect na monitor inakuwa desktop na ui pia inachange, tablet ukichomeka keyboard ui inachange inakuwa laptop, ukiconect na display kubwa ya ukutani ui inachange vile vile na kuwa ya kibiashara zaidi etc.Huyu jamaa alipofeli ni kuacha kuunganisha mfumo wa windows wa simu na pc. Ageweza kufanya app za simu kuwa sawa na za P.C yani executable ingeleta mafanikio makubwa sana maana hapo ndipo android anapomzidi.
Given you have the right hardwares apk yeyote unaitumia iwe kwenye t.v, tablet, friji, gari, simu, bado laptop za android tu ila so far android wins kuliko hata apple os!
Nadhani Gates angefanikisha integration yapps kusingekuwa na haja ya kusumbua watu kudevelop apps hizo hizo kwa p.c na simu!