Window - no disk help please

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Computer yangu inanipa message ya window- no disk watalamu naomba msahada tafadhali
 
information uliyotoa haitoshi kujua tatizo ni nini!! Tueleze ni Desktop/Laptop imeanza lini? ilikuwa?
 
Imekuwaje hadi hiyo message ikatokea? unatumia laptop au desktop? Unatumia windows gani?
 
Maeleze kidogo sana haya. Wakati wa kuwaka ndiyo inasema hivyo au muda gani inakuletea message hiyo?
 
Upo too general kusema cha ukweli, but my gues ni kwamba unajaribu kuweka CD au DVD ambayo hauipo compatible na Operating System ambayo ipo installed kwenye hiyo computer. So angalia operating system kwanza ya hiyo computer then check na hiyo CD au DVD
 
Back
Top Bottom