Wakuu microsoft huko tunakokwenda wenye os za magumashi tutapata tabu maana zimeanza kugoma loader kufanya kazi, wakati mwingine hata kama ulikuwa umeiactivate kimazabe na loader ukifanya updates ina tengua na ukilazimisha ku crack na loader windows ina crash.
Vipi hiyo RemoveWatt una weza kuendelea kufanya updates au vipi?