Window 98

Window 98

Raaj

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
205
Reaction score
29
Ndugu wana Jf,nimepewa laptop inayotumia window 98 naomba mnisaidie nifanyeje?
 
duuuuuh kitambo sana.... hiyo ni laptop aina hani na model gani?, bila shaka hata kama ni ya zamani basi itakuwa inasupport XP angalau(so kama vp upgrade kwenda XP kama hiyo laptop haisupport OS mpya)
 
Iasee ni yazamani sana ninawasiwasi hata RAM yake itakuwa ndogo na HARD DISK yake ila unaweza ku-upgrade sio mbaya ila kama nayo processor speed nayo ni ndogo kazi unayo ila ukiweza kuweka hard disk na ram itakuwa fresh tuuu. Ila ya zamani sana aina gani ya mashine IBM nini
 
Take its outer casing and vital in built components... go to repair/ mechanical store...sell em' and refund ur backs
 
duuuuuh kitambo sana.... hiyo ni laptop aina hani na model gani?, bila shaka hata kama ni ya zamani basi itakuwa inasupport XP angalau(so kama vp upgrade kwenda XP kama hiyo laptop haisupport OS mpya)

windows 95 ilikuwa nzuri sana niliipenda kuliko window 98, hata win 2ooo haikunivutia sana kama xp
 
Huu mwaka ungekuwa 2000 hiyo kitu ingekuwa ya maana sana hahaha
Sent from my fingers using Htc S740
 
Kwanza win95 wadau huwa haipigwi na virus. hata iweje
 
Back
Top Bottom