mimi wakuu nimeinstall windows 8 nimepata key za ku install ila za activation sijapata nimetumia kasoft za ku crack sijafanikiwa kila niki crack izo soft windows defender inaleta tabu kwa iyo haikubali ku activation aina ya mashine yangu ni parkard bell (lap top)
na kibaya zaid ilikua ina windows 8 original mimi niliiformat kwasababu ilikua inanizingua ilikua iko slow kupita kiasi nikadownload windows 8 ila sikupata activation key
na cha kunitesa zaidi nilitaka kui downgrade kuiweka windows 7 haikubali kabisa nimeingia kwenye setting zote nimeshindwa nime disactive securit boot nikiweka cd ya win 7 boot iso inaboot vizuri ila ikianza kustert up inaganda tu msaada kwenu tafadhali