window 8

window 8

johntemba

Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
27
Reaction score
1
nisaidieni jinsi ya kuchec group policy kwenye window 8 maana najarib inagoma!!! cmd>gpedit
 
imegoma bila error message yoyote au imegomaje?

jaribu kutumia RUN command: gpedit.msc kama ikishindikana kutakuwa kuna tatizo katika installation yako ya windows.
 
hata hiyo yenyewe haifanyi kazi!! is not recognized as an internal or external command
 
Back
Top Bottom