Habari za kazi ndugu wana JF. Naombeni mnisaidie jinsi ya ku-activate key za Window 8, nimetoka kuiweka sasa hivi kwenye Pc Yangu ila katoka Desktop kuna maandishi " Window 8 Release Preview Built 8400" Ila inaonekana haijawa activated, Je kuna namna au keys ambazo naweza kuzipata ku activate? Natanguliza shukrani.
Asante kwa ushauri mkuu, ila bado naamini watajitokeza wajanja tu one day.Mkuu hiyo sahau kabisa.
MS W8 this time wamejipanga vizuri sanasana utaweza kucrak lakini hautapata access ya kuingia kwenye store yao.Na kama usipoingia kwenye store huna sababu ya kuwa na W8 maana haitakuwa tofauti sana na W7 labda tu mzunguko mrefu wa kuzima PC yako!!
Asante kwa ushauri mkuu, ila bado naamini watajitokeza wajanja tu one day.
Product key au software ya ku-crack.
Mkuu hiyo sahau kabisaa.
utaweza kucrak lakini hautapata access ya kuingia kwenye store yao.
Tatizo kuna links nyingi sana za kudownload, unaweka uka attach then nikaichukua hapahapa JF?