Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 356
Hello JF
Wataalamu wa IT na walio bahatika kufanya zoezi tajwa hapo juu.Naombeni msaada niko na new laptop HP ENYV dv 6.
Ina window 8 najaribu kuishusha kwenda window 7. Baada ya kuona inasumbua kwenye software zetu hapa kwa office..
Nime google solution kibao nifanya moja ya kuformat partion ambayo nataka kuweka window 7, baada ya hapo nika boot kwa DVD sasa kufika kwenye partion hiyo kutaka kuweka window yangu napata error message "The selected disk is of GPT partition style. Hapo ndio nimekwama...window cannot be installed on this disk.
Kuna mtu kashafanikiwa katika hili.
Msaada wenu utakuwa nashukrani sana.
Buswelu.