Mkuu naona pia unaweza kunisaidia tatizo langu,nimenunua Ant-Virus Kaspersky 3users sasa nimemaliza keys ,nikafanikiwa kudownload other keys kupitia torrents nikaInstall kwenye mashine nyingi tu na zikakubali ila the prob imeanza after three days kupita Napata alert kwamba the antvirus am using is blocked.Sasa sijui kama naweza pata key nyingine ambazo sitapiga kazi vizuri?