Wadau nilikuwa na restore setting umeme ukakatika machine ikazima kuja kuiwasha baaada ya umeme kurudi kuiwasha inafanya window repair hile winow repair inashindwa kurepair hivi inawezekana kurepeia window kwenye command bila cd na kama machine ilikuwa na window 7 ultimate ukirepair na proffesinal itakubali au lazima utumie ultimate na itawezekana kutumia ultimate cd kurepair from boot kwa wenye kujua anisaidie kwani naogopa kupiga window mpya na machine ina mambo ya kazini na research ninayoifanya