Window 7 inaanza na screen nyeusi

Window 7 inaanza na screen nyeusi

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
Wakuu wazima.
Nina shida na win 7 nikiwasha computer inaonekana kama nimeistall win 2 nifanyeje.
20190209_214702.jpg
 
Kwa nini unatumia window 7 mkuu?Window 7 is no longer receiving service from microsoft inc!
 
Badilisha window nyingine tofauti na yenye umei install humo tafuta ambayo ni genuine
 
Chagua hiyo Option 1, iache iwake. Ingia halafu cheki Drive C: kama kuna folder imeandikwa windows.old, kama ipo maana yake wakati unainstall hukuformat previous windows.

Now rightclick on Drive C and Select Properties Chini.
Itatokea Property window ya Disk, Click Disk Cleanup. Iache ianalyse, ikimaliza itapop-up another window. Hapo Click "cleanup system files", iache tena. itapop tena window ingine, tick checkbox zote and most important is "previous windows installation" halafu bonyeza Delete. Ikimaliza reboot hiyo PC, tatizo litakua limeondoka.

Thanks.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Professional answer

Back
Top Bottom