Window 10 will launched next month with start button

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,578
kampuni ya microsoft inaachilia operating system mpya ya window 10 ifikapo tarehe 21/01 2015 na kikubwa ambacho watumiaji wengi wa window watafurahia nacho ni ujio wa classic start button ambayo ilikosekana kwenye window 8.. itakua kama mchanganyiko wa window 8 na win 7, kwani ina view ya start button na pia features ya window 8 style. kama inavyoonekana hapo.. pamoja na mambo mengi tu..


 
windows 10 itatoka mwezi wa 4 au wa 9/10.

sababu sasa hivi ndio kwanza tuna technical preview hio january huenda wakarelease consumer preview
 


Mh Katika ulivyo andika hapo hakuna KIpya... Mbona Update 1 na Update 1.1 za Windows 8 zote zna Start Button... Au Mwenzetu hukuwahi fanya updates?????????????????
 
Mi binafsi windows 8 ilkua inantosha,,
 
Mh Katika ulivyo andika hapo hakuna KIpya... Mbona Update 1 na Update 1.1 za Windows 8 zote zna Start Button... Au Mwenzetu hukuwahi fanya updates?????????????????

Start button ya win 8.1,8.1... ni tafauti kabisaaa ya window 10 imedisgniwa kivengine kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…