Win 20,000/- Tshs...

Win 20,000/- Tshs...

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,335
Reaction score
23,951
NAME THE PLAYERS AND WIN YOURSELF 20,000/-
​

tumblr_mh8g141gxV1r4xvd5o1_r1_1280.png

Boflo, Wacha 1, Belo, Viper, mtotowamjini, Peasant, Invisible, Sanda Matuta, BAK, Balantanda, Ab-Titchaz, @MAMMAMIA, Saint Ivuga, Kituko, Nyamizi, Bantugbro, palalisote, Erickb52, escober, MPAMBANAJI.COM, Kongosho, Chakunyuma, dilu, Excellent, utantambua, Mnandi, Mnyamwezi wa Urambo, ITEGAMATWI, CUTE, GITWA, kunguru mjanja, BelindaJacob, Masanilo et al...:A S 39:
 
Last edited by a moderator:
Dude, what a pic!!!! full of "bunch of losers"

Japo simo kwenye list, ngoja tu niwataje wapinzani wangu hawa,

Kutoka kushoto kwenda kulia

Petr Check mzee wa bodaboda
Branislav Ivo
Ashley Cole
David Luiz mzee wa mpararuo
Oriel Romelu
Mvuta bangi wa Brazil (Mtaani huku wanamuita Mbrazil mwenye soka la Kiingereza) Ramires
Frank "Super" Lamp
50m Pound Man
Juan Mata (namkubali ni fundi)
Oscar
Mikel (thank God alikataa kuja Man U)
Victor Moses
Huyu jamaa nahisi atakuwa Malouda (mchanganiiii anacheza vifuuu na madogo, kashindwa kuwa mjanja kama Kalou)
Edina Hazard (sijakosea jina tafadhali)
Fereira
Marin
Turnbul
Cahill
Terry
Jina lake gumu kama nini, keyboard imekataa kutaipu, sijui zilipiketa sijui
Dem' mama
Kwisha kabisa soka, Benayoun
Betrand
Hilario

Wazeee wa daraja haoooo, nasikia siku hizi la vioo, peleka tu kichaa kama Benitez utapenda mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tuwaachie waliotajwa kwanza halafu wadandiaji tutafuata.
 
From left


  1. Petr Cech
  2. Branislav Ivanovic
  3. Ashley Cole
  4. David Luiz
  5. Oriel Romelu
  6. Ramires
  7. Frank Lampard
  8. Fernando Torres
  9. Juan Mata
  10. Oscar
  11. Jon Obi Mikel
  12. Victor Mosses
  13. Florent Malouda
  14. Fereaira
  15. Cesar
  16. Marko Marin
  17. Turnbull
  18. Gary Cahill
  19. John Terry
  20. Eden Hazard
  21. Demba Ba
  22. Yossi Benayoun
  23. Ryan Betrand
  24. Hillario
 
Mentor,

Hiyo 20,000 naipataje sasa?
 
Last edited by a moderator:
:biggrin1: nimependa huyo aliyekaa chini inaelekea amezoea sana kukaa benchi kwa hiyo kaambiwa wapigwe picha yeye akakaa badala ya kusimama
 
:biggrin1: nimependa huyo aliyekaa chini inaelekea amezoea sana kukaa benchi kwa hiyo kaambiwa wapigwe picha yeye akakaa badala ya kusimama

Hahaha...That is Juan mata Man!!!! hehehehe....labda hiyo angepewa Ferreira..
 
Back
Top Bottom