Wimbo wa Vakinoma

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,719
1,782
Wadau nimekumbuka sana huo wimbo pamoja na albamu yake yote.

Ni wimbo wa kihehe nakumbuka enzi zile miaka ya 1994,1995 ulikua huwezi kwenda kwenye harusi yoyote bila wimbo huo kupigwa.

Nimejaribu kugoogle sijaupata.Kama kuna mtu anao autupie basi humu
 
Ni ule ulioimbwa Na Kanisa LA Anglican Iringa
Miongoni mwa nyimbo ni:

Ayubu, Zakayo, Siku za mwisho, Duniani!??

Ndio hawa au!?
 
Back
Top Bottom