Nangose 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,202 Reaction score 6,781 Nov 18, 2018 #1 Ohy wadau.. Mwenye nahitaji wimbo wa Taifa (Audio) naomba aniwekee hapo.. Ile ya vyombo tupu itapendeza sana
Ohy wadau.. Mwenye nahitaji wimbo wa Taifa (Audio) naomba aniwekee hapo.. Ile ya vyombo tupu itapendeza sana
AKASINOZO JF-Expert Member Joined Aug 22, 2016 Posts 1,367 Reaction score 2,219 Nov 18, 2018 #2 Hiyo ni nyara ya sirikali kama ilivyo pembe ya ndovu
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,802 Nov 18, 2018 #3 Dah sijawahi iona hio audio.. Nani aliirekodi?? Producer ni nani??
Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,395 Reaction score 13,266 Jul 19, 2019 #4 carcinoma said: Dah sijawahi iona hio audio.. Nani aliirekodi?? Producer ni nani?? Click to expand... Clouds FM kila siku saa moja asubuhi wanaupiga kabla ya taarifa yao ya habari
carcinoma said: Dah sijawahi iona hio audio.. Nani aliirekodi?? Producer ni nani?? Click to expand... Clouds FM kila siku saa moja asubuhi wanaupiga kabla ya taarifa yao ya habari
S song 16 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 499 Reaction score 642 Jul 19, 2019 #5 Nenda Google Tanzania wikipedia utauona
K Koomson Member Joined May 17, 2019 Posts 16 Reaction score 6 Jul 21, 2019 #6 song 16 said: Nenda Google Tanzania wikipedia utauonpa Click to expand... hHahhha lit HIYOOO BabaAkoooo
song 16 said: Nenda Google Tanzania wikipedia utauonpa Click to expand... hHahhha lit HIYOOO BabaAkoooo
Mia tisa itapendeza Member Joined Dec 7, 2017 Posts 41 Reaction score 27 Jul 21, 2019 #7 Enjoy! Your browser is not able to display this video. Attachments VID_21500118_231040_028.mp4 1.9 MB
Nangose 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,202 Reaction score 6,781 Sep 24, 2019 Thread starter #8 Mia tisa itapendeza said: Enjoy! View attachment 1158636 Click to expand... Thanks mkuu, nilishindwa kukupa feedback because I was banned
Mia tisa itapendeza said: Enjoy! View attachment 1158636 Click to expand... Thanks mkuu, nilishindwa kukupa feedback because I was banned