Wimbo wa Taifa Ulivyotaka Kunitia Matatani...!

umetisha mkuu, vipi wande ku-arrest kwa kuishi nchini bila kibali
Nilikuwa niko full mzee naona kituoni wangeona vitambulisho vyangu wangecheka sana, mie pale niliogopa fedhea kutoka kwa walimu wanawake, si unajua wenzetu kwa kukimbilia kusema wamedharauliwa.

 
Nimekubali mbavu sina kweli miaka ya 80 baada ya vita ya Uganda Bendera ya Taifa au wimbo huo lazima uwe attentation leo nidhamu hakuna na askari lazima angekungangakia apate rushwa tena mkimbizi
 
Kwahiyo wakongoman KG hawaulizwi passport??au kwakuwa kunawakimbizi wengi ila siwanatakiwa wakae kambini kwenda mjini kwa kibali maalumu??hapo sijakuelewa!!
Wakongo ni wengi, isitoshe wengi wao wana permit za kuishi nchini, askari akaona atajisumbua bure. alafu nilikuwa naongea kwa kujihamini.
 
Back
Top Bottom