Wimbo wa taifa huu unavutia

Wimbo wa taifa huu unavutia

tumiakichwa

Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
44
Reaction score
10
wandugu habari za jioni hii!
jamani mwenye wimbo wa;
"tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote" naomba anisaidie niudownload
 
Tumejaliwa haki sisi Tanzania
Ngao yetu umoja tunajivunia
Uhuru na umoja tunajivunia
Mawazo ya mwalimu yameshatimia
Kudumisha umoja ndio yetu nia
Ni wajibu kumshuru baba Nyerere
Kumsifu kwa furaha wingi wa hamu
Mwalimu baba yetu tunamfahamu,Nyerere baba yetu tunamshukuru
Mwalimu ndugu yetu tunamshukuru......................

Nikikumbuka verse nyingine nitarudi
 
Back
Top Bottom