'hawa jamaa wanao-burn nyimbo kwenye vibanda huwa hawakosi nyimbo mi nadhani unge-check na wale hawa jamaa wana ngoma hata msanii haja-release wao sjui wanapata wapi aisee,check them'
Mi nina shida na tafsiri hasa ya kupata maana katika baadhi ya mashairi ya nyimbo zake. Mfano wimbo ahsanteni kwa kuja pale anaposema, " kila anayekuja anakitambaa mkononi tena kimelowa" . Je anamaanisha nini? Kwa anayejua anifafanulie.